Hapo zamani alikuweko mzee mmoja aliyeitwa ZIZIZI ambaye alikuwa huja kunywa pombe katika mkahawa ulioendeshwa na mama mmoja. Kila akimaliza pombe yake, aliinuka akaenda zake bila ya kulipa hela na mama mwenye mkahawa naye hakudai malipo. Baba alimwambia mwanawe Gagaga:“Kila neno lako na kila kitendo chako, huna budi kujifunza kutokana https://bihlmayermedia-bilder.com/4-advent/